Habari za Punde

MAMA FEREJI ALIPOFUNGA MAFUNZO YA UONGOZI CHUO CHA POLISI






Mhe Fatma Abdulhabib Ferej alikuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufungaji wa mafunzo ya uongozi katika Chuo cha Zanzibar Police Academy Course No .1/2010/2011 kwa ngazi ya Koplo Sajent,Sajent na Station Sajent, hivi karibuni.

Mhe alikagua gwaride rasmi lililoandaliwa kwa ajili yake ambapo jumla ya wahitimu 802 walimaliza mafunzo kutoka mikoa yote ya Tanzania Bara na Visiwani ,aidha Mhe Fatma aliwatuniku zawadi wanafunzi 6 waliofanya vizuri na kuonesha nidhamu  na kuwavisha vyeo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.