Habari za Punde

SALA YA IJUMAA

WAUMINI  wakiwa katika matayarisho ya Sala ya Ijumaa katika Msikiti wa Mchangani, wakiwa nje ya maeneo ya barabara ya mtaa huo katika kipindi cha sala ya Ijumaa misikiti mingi huja na baadhi ya watu kusali nje kama inavyoonekana katikammoja wa msikiti huu.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.