KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Ibrahim Mzee akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya Maandalizi ya Maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Baraza la Nane la Wawakilishi.
KATIBU wa Baraza la Wawakilishi Ibrahim Mzee akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali Zanzibar juu ya maandalizi ya Mkutano wa Nne wa Baraza Kikao cha Nane kinategemewa kuanza 15-6-2011
WAANDISHI wa habari wakimsikiliza Katibu wa Baraza la Wawakilishi akitowa maelezo ya Kikao cha Nne cha Baraza kinachoanza 15-6-2011, wakiwa katika Chumba cha Mkutano cha Baraza Mbweni.
No comments:
Post a Comment