Habari za Punde

WAZIRI WA NCHI, OMAR YUSSUF MZEE ATOWA MUELEKEO WA BAJETI YA SERIKALI YA MAPINDUZI ZANZIBAR.

 WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha, Uchumi, Mipango na Maendeleo Zanzibar Omar Yussuf Mzee  akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbalimbali vilioko Zanzibar, kuhusiana na  Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2011 - 2012.   
WAANDISHI wa Habari wa Vyombo mbalimbali wakimsikiliza Waziri Nchi Ofisi ya Rais  Fedha, Uchumi Mipango na Maendeleo Zanzibar wakivuatilia maelezo ya Waziri kuhusu muelekeo wa Bajeti ya Serikali kwa Mwaka 2011 - 2012 ,Wizara ya Fedha Vuga.  
NAIBU Katibu Mkuu Wizara ya Fedha Abdi Khamis Faki, Mhasibu Mkuu wa Serikali Zanzibar Omar Hassan (King) wakimsikilizaWaziri akitowa Muelekeo wa Bajeti.    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.