MENEJA wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar Bakari Kisuda akiwa na washindi wa kujiwekea Akiba katika akauti zao kushoto mshindi wa Friji Bimkubwa Ali Mohammed na mshindi wa Redio ya Home Theather Gaudesia Aloce Mkiwa, wakiwa katika Benki ya Posta Tawi la Zanzibar Mchangani.
MENEJA wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar, Bakari Kisuda akimkabidhi mshindi wa kujiwekea akiba Bimkubwa Ali Mohammed friji lake baada ya kuwa mshindi.kwa kujiwekea akiba ya shillingi 200,000./
MENEJA wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar, Bakari Kisuda akimkabidhi mshindi wa pili wa weka akiba ya shillingi 200,000/, redio ya Home Theather .Gaudesia Aloce Mkiwa.
MENEJA wa Benki ya Posta Tawi la Zanzibar Bakari Kisuda akizungumza na waandishi wa habari jinsi ya kushiriki shindano la Weka Akiba, mshiriki anatakiwa kufunguwa akauti ya shillingi 200,000/ au kuweka akiba ya kiasi hicho ndio anashiriki katika shindano hilo kila akijiwekea akiba ndio anavyozidi kushiriki.
MSHINDI wa kwanza wa Weka Akiba, Bimkubwa Ali Mohammed akizungumza na waandishi baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya Friji.
MSHINDI wa Pili wa Weka Akiba Gaudesia Aloce Mkiwa akizungumza na waandishi baada ya kukabidhiwa zawadi yake ya Redio ya Home Theater.
No comments:
Post a Comment