WANANCHI wa Mkoa wa Kaskazini Pemba wakijimuika na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein katika futari aliowaandaliwa katika viwanja vya Ikulu Wete

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Al Haj Dk Ali Mohamed Shein, akijumuika na waislamu wa Wilaya ya Wete Mkoa wa Kaskazini Pemba katika Futari maalum aliyowaandalia waislamu hao jana katika viwanja vya Ikulu ya Wete

Baadhi ya Waislamu wakishiriki katika Futari waliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, AlHaj Dk Ali Mohamed Shein, katika viwanja vya Ikulu ya Wete.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment