Habari za Punde

MAMA SHEIN AFUTARISHA CHOKOCHO

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akijumuika na wananchi wa kijiji cha Chokocho katika futari iliondaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
WANANCHI wa Kijiji cha Chokocho wakijumuika katika futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein kwa wananchi wa kijiji hicho

MKE wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mwanamwema Shein akisalimiana na Wananchi wa Chokocho baada ya kujumuika katika futari iliyondaliwa na Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.