Habari za Punde

MVUVI WA KIJIJI CHA CHWAKA AKITOKA BAHARINI AKIWA NA MITUNGO YA SAMAKI AKIPELEKA KATIKA MNADA SOKO CHWAKA.

MVUVI katika Kijiji cha Chwaka akitoka bahari akiwa na samaki akipeleka katika mnada wa samaki katika soko la Chwaka kila mtungo mmoja wa samaki umeuzwa shilingi 35,000/=.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.