Habari za Punde

UZINDUZI WA UCHUMAJI KARAFUU PEMBA

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akichambua karafuu katika uzinduzi kwa zao kuu la uchumi wa Zanzibar huko Mkanyageni Sijeni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum

Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi,Dk Ali Mohamed Shein,akizungumza na Kamati Maalum Task Force,ambayo itasimamia zoezi zima la uchumwaji wa karafuu katika  ukumbi wa kiwanda cha Makonyo,kisiwani Pemba, alipoizindua rasmi.


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akichuma karafuu kama ishara ya uzinduzi kwa zao kuu la uchumi wa Zanzibar huko Mkanyageni Sijeni Mkoa wa Kusini Pemba akiwa katika ziara maalum
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akikagua shughuli za uatikaji wa miche ya mikarafuu  katika kitalu cha mwanatojo,wilaya ya chake chake  Pemba akiwa katika ziara kisiwani Pemba kuzindua uvunaji wa zao la Karafuu kwa msimu huu.



 Picha na Ramadhan Othman Pemba

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.