Habari za Punde

DK SHEIN AWASALIMIA WATOTO



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohammed Shein, akiwasalimia watoto wa kijiji cha Piki wilaya ya Wete Pemba, mara baada ya kuwapa polewananchi wa Piki, Kisiwani na Mzambarau takao,waliofiliwa na jamaa zao katika meli ya Mv Spice Islander,hivi karibuni katika mkondo wa Nungwi kaskazini Unguja, ikiwa katika safari ya kisiwani Pemba. (Picha na Ramadhan Othman Pemba)

1 comment:

  1. Mkuu,

    Hii picha safi sana. Imenigusa sana. Watoto kweli ni maua. Ukiangalia sura zao zenye bashasha unahisi matatizo yote ya dunia yamepotea. Allah hakukosea aliposema watoto ni mapambo. Big up Mkuu!
    Mdau
    USA.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.