Habari za Punde

DK BILAL AKUTANA NA WAKURUGENZI WA TIC NA IPDC




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na Ujumbe wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC) wakati walipofika ofisini kwake jijini Ikulu Dar es Salaam leo Nevemba
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Nyaraka za kujisomea kuhusu Uwekezaji kutoka kwa Kaimu Mkurugenzi wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Raymond Gondwe, wakati alipofika yeye na ujumbe wake kumtembelea Makamu wa Rais kwa mazungumzo ofisini kwa Makamu, Ikulu Dar es Salaam leo Novemba 2, 2011

Picha na Muhiddin Sufian OMR

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.