Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(katikati) akifuatana na Prof Idrissa Ahmada Rai,pamoja na viongozi mbali mbali wakati alipotembela kuona maendeleo ya hatua za ujenzi wa Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia mandhari ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia mandhari ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,( kushoto) akipata maelezo kutoka kwa msimamizi wa ujenzi wa kampuni ya Masasi Construction Co LTD Babubhai Ladwa,alipokuwa akiangalia ramani ya ujenzi wa majengo ya Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA), Tunguu alipotembelea jana
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia ramani ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipofanya ziara maalum ya kuangalia ujenzi wa majengo ya chuo hicho pamoja na mipaka ya eneo hilo jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia ramani ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipofanya ziara maalum ya kuangalia ujenzi wa majengo ya chuo hicho pamoja na mipaka ya eneo hilo jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,(wa pili kulia) akiangalia alama za mipaka ya Eneo la Chuo Kikuu cha Taifa(SUZA),alipotembelea jana huko Tunguu Nje ya Mji wa Zanzibar.
Picha na Ramadhan Othman, Ikulu
No comments:
Post a Comment