Wananchi wakiwa na hasira wakimzongea dereva wa daladala ya njia ya Mwanyanya, baada ya kusababisha ajali ya kuwagonga watembea kwa miguu katika maeneo ya kituo cha daladala darajani.
Wafanyabiashara ya nguo za Mitumba wakinadisha nguo hizo kwa mnada kwa wananchi, kama walivyokutwa na mpiga picha maeneo ya darajani.
No comments:
Post a Comment