6/recent/ticker-posts

NAIBU WAZIRI WHUUM AKABIDHI ZAWADI KWA MWANAFUNZI BORA ZANZIBITS


Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Utalii na Michezo, Bihindi Hamad Khamis akimkabidhi zawadi mwanafunzi bora Kazija K. Uledi baada ya kuhitimu mafunzo ya mwaka mmoja ya kusarifu na kutengeneza filamu na matumizi ya Computer, katika mahafali iliofanyika juzi katika ukumbi wa Bait el Yamin Malindi mjini hapa.

Post a Comment

0 Comments