Mzee Hassan Nassor Moyo akimkabidhi Rais Mstaafu wa Zanzibar, Amani Abeid Karume nishani ya Shujaa wa Zanzibar iliyotolewa na Swahili Performing Arts Centre (SPAC) ambapo nishani kama hiyo tayari ameshakabidhiwa Maalim Seif Sharif Hamad kutokana na mchango wa viongozi hao walisimamia maridhiano ya Zanzibar, walioshuhudia makabidhiano hayo Mwenyekiti wa SPAC, Kheri Abdallah Yussuf na Mjumbe wa Bodi, Ismail Jussa
Wapeni watoto wenu mlo wa asubuhi kabla ya kwenda shule
-
Wazazi na walezi wameaswa kuhakikisha wanawapatia watoto wenye umri wa
kwenda shule mlo wa asubuhi kabla hawajaenda shule. Rai hiyo imetolewa na
Mkurugenzi...
17 minutes ago


No comments:
Post a Comment