Habari za Punde

Shoti ya Umeme Yasitisha Shughuli za Wakaazi wa Jengo la ZSSF Kwerekwe.

Wafanyakazi wa Taasisi mbali mbali zilizokodi katika, jengo la ZSSF,wakiwa nje ya Ofisi zao baada ya kutokea Shoti ya Umeme katika jengo hilo lilioko Mwanakwerekwe Unguja jana, katika ajali hiyo hakuna madhara yoyote yaliotokea.    

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.