JUBILEE INSURANCE YAWAPATIA WANAFUNZI SHULE YA MSINGI MERU-ARUSHA BIMA YA
AFYA BURE
-
Na Mwandishi Wetu,Arusha.
Jubilee Insurance kupitia kampuni zake za Bima ya Afya na Maisha imezindua
mpango wakusaidia jamii kwa kuwapatia wanafunzi 10 ...
2 hours ago
Hi video si nzuri wa utamaduni wetu na pia haioneshi hali halisi ya visiwa vyetu. Wazungu kila wakati wanapenda kuona habari ambazo sio za kuvutia kuhusu sisi. Bi Kidude na vijana wake wa "nyago" wametuchafulia jina letu kwahiyo mtu akiona hii video ataona kuwa wanawake wa zanzibar hujifungia ndanni na kunywa bombe. Jee mkuu hili ndilo ulilolitaka tuliangalie? Kwa kweli inasikitisha sana kutumia blog yako kwa kuwasaidia watu wanaotaka kutuchafulia jina la nchi yetu, utamaduni wake na watu wake.
ReplyDelete