Wajasiriamali Wanawake wakiweka mkakati jinsi ya kuendeleza biashara zao wakati wa kikao cha kujadili mwendendo na mafanikio ya Wajasiriamali Zanzibar wakati wa shughuli zao katika soko la Sunday Market Michezani wiki iliopita.
Elimu : Awamu ya Sita Yaipiga Jeki Elimu, Walimu Wapongezwa Arusha
-
Na Pamela Mollel, Arusha
Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imefanya
maboresho makubwa katika sekta ya elimu mkoani Aru...
11 minutes ago
jamani soko la kila wiki ni bora kuuzwa vitu vinavyo hitajika katika matumizi ya familia ya kila siku yakiwemo matunda, mboga mboga n.k. hii pia ingesaidia kupunguza msongamano kwenye masoko yetu hasa kwa siku ya jumapili. Badilini sera.
ReplyDeleteMchangiaji wa mwanzo,upo right kabisaaaa!
ReplyDeleteNa hasa ukizingatia jiografia ya maeneo ya Michenzani,hakuna soko la karibu katika kuwahudumia wakaazi wa maeneo hayo. Wakaazi wa maeneo hayo,inabidi waende sokoni Mkunazini(soko la karibu),au M/kwerekwe (ambalo liko mbali) katika kujipatia huduma zao vyakula.
Maassalaam