Habari za Punde

Kutoka Baraza la Wawakilishi leo



Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi wakitoka katika ukumbi wa Mkutano baada ya kkikao cha asubuhi leo, kulia Mhe. Juma Duni na Ali Mzee.
Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Hamad Masoud, Nassor Mazrui na Ali Mzee, wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa baraza baada ya kuahirishwa kikao cha asubuhi kwa ajili ya mapumziko.
MWAKILISHI wa Mji Mkongwe Ismail Jussa akitoka katika ukumbi wa mkutano baada ya kuahirishwa kwa ajili ya mapumziko hadi jioni saa 11.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.