Habari za Punde

Mama Mwanamwema Shein Ajumuika na Watoto wa Kijiji cha SOS katika Futari Aliowaandalia katika Makazi yao Mombasa










1 comment:

  1. Asalama alaikum waisilam wote kwa ujumba huu ni mwezi mtukufu kwetu waisilamu kufanya mema pia kuzidi kukumbusha yale tunayoyasahau au tusiyo yajuwa hakuna binadamu aliye kamilika nikatika mwezi huu ndio iliposhushwa quran tukufu ndani ya Qurani hiyo kuna mengi sana tu leo hapa napenda tukumbushane kauli wapo ya Mmungu iliyokuwemo ndaniya Qurani Mmungu anatwambia Waiteni watoto wenu kwa majina ya Baba zao sasa unapo mwita huyu mke wa Rais kwa jina la mumewe (Mwanamwema Shein) tayari unakizana na kauli ya Mwenywezi Mungu,lakini nomba hapa ikumbukwe inategemea na imani ya dini ya mwitaji na aitwae Asalam alikum

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.