Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Suleiman Othman, akitowa nsaha zake kwa Washiriki wa Mashindano ya Kuhifadhi Qur-an yaliofanyika katika Ukumbi wa Salama Bwawani.
Waumini wa Dini ya Kiislam wakifuatilia Wanafunzi wakisoma Qur-an katika mashindano hayo ya Juzuu 30.
Majaji wa Mashindno ya Qur-an wakiwasikiliza washiriki jinsi ya usomaji wao katika mashindano hayo yalioandaliw na Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar.
Mgeni Rasmin Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Suleiman Othman, akimkabidhi zawadi mmoja wa Washiriki wa Mashindno hayo ya juzuu 30.
Mgeni Rasmin Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Shekh. Suleiman Othman, akimkabidhi zawadi mshindi wa Juzuu 30 kutoka Ungada Omar Abdi Nuru.kulia Amir Suleiman Omar Ahmeid.( Mwalim Sule)
Mgeni Rasmin Naibu Kadhi Zanzibar Shekh.Suleiman Othman akiwa katika picha ya pamoja na Majaji wa Mashindano hayo ya kuhifadhi Qur-an.
Mgeni Rasmin Naibu Kadhi Zanzibar Shekh.Suleiman Othman akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Jumuiya ya Kuhifadhisha Qur-an Zanzibar ambayo imetimiza miaka 20 tangu kuazishwa kwake Zanzibar.
Mgeni Rasmin Naibu Kadhi Zanzibar Shekh.Suleiman Othman akiwa katika picha ya pamoja na Washiriki wa Mashindano ya kuhifadhi Qur-an Zanzibar.
No comments:
Post a Comment