Wananchi wa Machomane Chakechake Pemba wakitowa msaada wa kuzima moto uliokuwa ukiwaka katika Vespa, baada ya kutoke hitilafu za kiufundi na hatimai kuwaka moto katika tukio hilo wananchi hao wamefanikiwa kuuzima moto0 huo na kuzuia uharibifu wa chombo hicho.
Mwananchi akitowa msaada wa kuzima moto uliotolea katika Vespa baada ya kutokea hitilafu za kiufundi kwa chombo hicho, na hatimai kufanikiwa kuiokoa vespa hiyo isiteketee kwa moto.
No comments:
Post a Comment