Waziri Mkuu Mstaaf Edward Lowasa, akitowa maoni yake mbele ya Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika ukumbi wa Ofisi hiyo kulia Mwenyekiti wa Tume ya Katiba Jaji Joseph Sinde Warioba na Mjumbe wa Tume ya Katiba Mhe. Salim Ahmeid Salim, wakimsikiliza Mhe Lowasa akitowa maomni yake.
Katibu wa Chama cha Wabunge Wanawake wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe.Angellah Kairuki,akiwasilisha maoni ya Chama hicho mbele ya Wajumbe wa Tume ya Katiba Tanzania.katika ukumbi wa Karimjee Mjini Dar-es- Salaam.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Mhe. Omor Sheha Mussa,akizungumza na Ujumbe wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) katika Mkutano baina yao uliofanyika katika Ofisi za Tume Mjini Dar-es-Salaam, Chama hicho kimewasilisha maoni yake mbele ya Tume ya Katiba Tanzania.
Mwenyekiti wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE)Bw.Almas Maige, akizungumza na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania wakati wa mkutano wa kutowa maoni yao mbele ya Tume.
Mjumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba Tanzania Dk. Salim Ahmeid Salim (kushoto)akibadilishana mawazo na Waziri Mkuu Mstaaf wa Tanzania Mhe. Edward Lowasa (katikati) wakiwa nje ya ukumbi wa mkutano wa Tume baada ya kutowa maoni yake, kulia Mjumbe wa Tume hiyoMhe.Maria Koashonda. (Picha na Tume ya Katiba Tanzania)
No comments:
Post a Comment