Habari za Punde

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA ATOA MAONI YA KATIBA MPYA

 Waziri Mkuu wa Serekali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Mizengo Pinda katikati akitowa maoni yake mbele ya Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Tanzania, kulia Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Joseph Sinde Warioba na Makamu Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Agustino Ramadhani.
 Mwenyekiti wa Tume ya Marekebisho ya Katiba ya Tanzania Jaji Joseph Sinde Warioba, akitowa maelezo ya utendaji wa shughuli za Tume kwa Waziri Mkuu Mizengo Pinda alipofika katika Ofisi za Tume Mjini Dar-es-Salaam kutowa maoni yake.
 Maofisa wa Tume ya Katiba wakitowa maelezo ya Utendaji wa Tume hiyo alipofika katika jengo la Tume kutowa maoni yake.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.