Jaji Mkuu wa Uganda Mhe. Benjamin
Odoki (kushoto) akiongea na Wajumbe wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam leo (alhamisi Feb. 14 2013) kuhusu uzoefu
wake katika uandishi na utekelezaji wa Katiba. Jaji Odoki aliongoza Tume ya
Katiba ya Uganda iliyoundwa mwaka 1989. Kulia ni Mwenyekiti wa Tume Jaji Joseph
Warioba.
Jaji Mkuu wa Uganda Mhe. Benjamin
Odoki (kulia) akiongea na Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba katika
ofisi za Tume jijini Dar es Salaam. Jaji Odoki, ambaye aliongoza Tume ya Katiba
ya Uganda iliyoundwa mwaka 1989, amekutana na Wajumbe wa Tume leo (alhamisi
Feb. 14, 2013) na kuzungumzia uzoefu wake kuhusu uandishi na utekelezaji wa
Katiba Mpya.
Picha na tume ya Katiba
No comments:
Post a Comment