Wananchi wakiwa katika harakati za kumuokoa dereva wa gari aina ya Haice yenye namba za usaji Z 239 DX, inayochukuwa Watalii, kikitokea Kiwengwa na kugongana na gari yenye namba za usajili Z920 CP, ikitokea mjini kuelekea bububu, Kwa mujibu mashuhuda walioshuhudia ajali hiyo wamesema ajali hiyo imesababishwa na haraka za madereva hao kila mtu akitaka kuwahi.
Wananchi wakiangalia jinsi ya dereva wa hiace akinasuliwa katika usukani baada ya kutokea ajali hiyo.
Shukuran sana Bwana Othman
ReplyDeleteHiyo ndo hali ya barabara yetu ya bububu, wallah hii barabara imejaa damu za watu wasikuwa na hatia, kutokana na ubovu wa serikali yetu kushindwa kudhibiti usalama wa barabara.
Madereva wamekuwa wakiendesha magari bila ya kuzingatia usalama wao hata wanawanchi hata waendesha magari wenzao, ipo haja ya kuwanyang'anya leseni wale wote mabo watakuwa wanavunja sheria ba barabara, ambazo sheria hizo kama zile ambazo zinavunja usalama wa raia, kwa mfano mwendo wa kasi. au kuendesha gari bila ya kutumia uwangalifu.
Barabara yetu ya bububu ni ndogo sana sana haikidhi tena kwa mahitaji yetu, inatakiwa iyongezwe upana,hiyo iliopo sasa iwe mara tatu yake iwe ya kimataifa , kwani barabara hii ni muhimu sana kwa wilaya ya mjini magharibi na ndio inayo unganisha miji mingine.
Haya mambo yanapigiwa kelele siku zote lakini serekali imekaa kimmya, nahao tulotegemea, wata waamsha,Smz, hawakutaka hilo, waowanataka,tupue kwenye muungano, jamaa zao watuue kwa magari,ukichunguza magari mengi yanamilkiwa na hao wonotaka tupumue, kamahanajamaa mkubwa ndani, smz, mama yake ataregeza macho kwa wakubwa,smz, mchezo kwisha
ReplyDeleteUmefika muda wa barabara ya Bububu kupanuliwa kwa grarama yoyote, kwani kadiri siku zikienda gari zinaongezeka na majumba ya thamani yanaongezeka. AU tufufuwe reli yetu iliyokuwa ikipita kandokando ya ufukwe.
ReplyDeleteBy Observer.