Usafiri wa Daladala katika njia mbalimbali umekuwa wa shida kutokana na Ukaguzi wa Magari unaofanywa kukagua kama linastahili kutembea barabarani, na kusababisha gari nyingi kutotowa huduma hiyo kuhofia kukamatwa na mkaguzi.Na kufanya huduma hiyo kuwa ya kugombea daladala na baadhi ya Wananchi kutembea kwa miguu kufika kazi na katika sehemu zao za kazi.
Baadhi ya abiria wamesema madereva wa daladala wanakuwa hawafikishi abiria katika sehemu wanayokwenda na kuwakatisha safari zao kuogopa kukamatwa na askari wa usalama barabarani katika zoezi hilo.
Ukaguzi nisawa lakini hayo magari yalio kaguliwa bado hayankiwango chakurizisha, tuanze na siti zakukaa abiria hazirizishi ,wao wanacho kagua nibima na kodi za serekali usalama wa abiria na malizao hakuna
ReplyDelete