MAKAMO wa kwanza wa
Rais wa Zanzibar ,
Maalim Seif Sharif Hamad akisalimia na viongozi mbali mbali wa wilaya ya
Micheweni jana, kabla ya kushirikiana katika futari maalumu aliyowaandalia yeye
na familia yake, futari hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa majenzi Micheweni
MAKAMO wa kwanza wa
Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad (watatu kutokea kushoto) akijumuika
na viongozi wa Serikali na wananchi mbali mbali wa Wilaya ya Micheweni, katika
Futari maalumu aliyoandalia yeye na familia yake, wa kwanza kushoto ni Mkuu wa
Wilaya ya Michweni Juma Abdalla Ali, futari hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
majenzi Micheweni
Wananchi mbali mbali
wa Wilaya ya Micheweni wakijumuiya kwa pamoja katika futari maalumu,
waliyoandaliwa na Makamo wa kwanza wa Rais wa Zanzibar , Maalim Seif Sharif Hamad, kwa
niamba yake na famili yake, futari hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa majenzi
Micheweni
MAKAMO wa kwanza wa
Rais wa Zanzibar ,
Maalim Seif Sharif Hamad, akitoa shukuruni zake kwa viongozi wa serikali na
wananchi wa wilaya ya micheweni waliohudhuria katika futari maalumu
aliyowaandalia yeye na familia yake, futari hiyo iliyofanyika katika ukumbi wa
majenzi Micheweni
MAKAMO wa kwanza wa Rais wa Zanzibar,
Maalim Seif Sharif Hamad, akisalimia na Daktari wa kigeni, anayejitolea katika Hospitali
ya Micheweni Raia wa Uholanzi, Suzan Lokote, aliyejumiiya katika Futari Maalumu,
iliyoa andaliwa na Maalim Seif Sharif Hamada, kwa wananchi wa Micheweni, huko
katika ukumbi wa Majenzi Micheweni.
(Picha zote na Abdi Suleiman, Pemba .)
Mashallah. Ramadhan Mubaraq.
ReplyDelete