Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba afungua mafunzo ya wanawake

 MKUU wa mkoa wa Kusini Pemba, Meja Mstaafu Juma Kassim Tindwa, akifungua mafunzo kwa viongozi wanawake juu ya kuwajengea uwezo viongozi hao, katika ukumbi wa Gombani kisiwani Pemba, kulia ni Afisa Mdhamini wa wizara ya Ustawi wa jamii Maendelo ya Wanawake na watoto Pemba, Mauwa Makame Rajab. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
Mtaalamu kutoka kikosi cha Zimamoto na Uokozi Pemba, Mohammed Fadhili, akizima moto, baada ya kuwapatia taaluma, wafanyakazi wa shirika la Umeme ZECO Tawi la Pemba, Jinsi gani mitungi ya gesi ya huduma ya kwanza, yanavyo anya kazi pale panapotokea tatizo la kuungua moto. (Picha na Abdi Suleiman, Pemba.)
 

1 comment:

  1. Mabaduliko yoyote ya katiba Z'bar lazma yaweke wazi majukumu ya wakuu wa mikoa na wilaya.

    Umri na viwango vyao vya elimu ni muhimu katika kujenga imani kwa wananchi juu ya uwezo wao kiutendaji.

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.