Tumuombe Mola atutakabalie Swaumu zetu, ibada zetu, Sala zetu na kila mmoja wetu atie nia ya kuifanya Ramadhaan ya mwaka huu iwe ni ya kupigiwa mfano kwa ubora wake kuliko Ramadhaan zote tulizojaaliwa kuzifunga huko nyuma.
ZanziNews inaungana na Waislamu wote ulimwenguni kwa kufikiwa na mgeni wetu adhimu Ramadhaan.
Ramadhaan Kareem
No comments:
Post a Comment