Watoto wakiwa katika moja ya pembea ya farasi katika kiwanja cha sikukuu cha bustani ya jamuhuri weles.
Watoto wakubembea katika pembea za kutumia umeme katika kiwanja hicho, pembea hiyo hutozwa kwa shilingi 500/= kwa mchezo mmoja.
Watoto wakiwa katika mchezo wa gemu kutumia komputer katika kiwanja wa bustani ya jamuhuri Weles.kama walivyokuta wakiwa bizz na mchezo huo.
Moja ya Pemba za Kituo cha Watoto katika bustani ya jamuhuri ikitowa huduma ya michezo kwa watoto wanaotembelea kiwanja hicho katika kusherehekea sikukuu ya Eid El Fitry. husherehekewa na Waislam duniani kote.
Watoto wakiwa katikaharakati za kuelekea katika viwanja vya sikukuu kusherehekea sikukuu hiyo na kuungana na Waumini wa Kiislam kusherehekea baada ya mfungo wa mwezi wa Ramadhani kumalizika.
No comments:
Post a Comment