Kikosi cha Timu ya Taifa ya Zanzibar kikishuka dimbani mchana huu kupambana na timu ya Taifa ya Ethiopia,ikiwa ni mchezo wake wa Pili kstika Group A. timu ya Taifa ya Zanzibar katika mchezo wake wa kwanza imeshinda timu ya Taifa ya Sudan ya Kusini kwa mabao 2-1.
Kikosi hicho kikishuka uwanjani kwa nia moja ya ushindi dhidi ya timu ya Ethiopia, ili kuweza kuongoza katika kituo hicho kikiwa na timu ngumu.
Wazanzibar tuiombee dua timu yetu iweze kufuzu hatua hii ya leo ili kuweza kusonga mbele na kulitoa kombe hilo kurudisha historia ya mchezo wa mpira wa soka enzi hizo za Goseji.
Mungu Ibariki timu yetu itoke na ushindi kuweza kufikia Fainali.
No comments:
Post a Comment