Meneja Huduna za Wateja Benki ya NMB tawi la Zanzibar Abu Msangula, akitowa maelezo ya huduma ya Benki yake kwa Viongozi na Timu ya Baraza la Wawakilishi wakati wa kukabidhi Vifaa vya Michezo jezi Seti moja kwa ajili ya maandalizi ya mchezo wa Maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar, kwa mchezo kirafiki na Timu ya Wabunge wa Jamuhuri ya Muungano unaotarajiwa kufanyika Zanzibar katika sherehe za Mapinduzi mwakani.
Meya Kigamboni awafariji wagonjwa agawa zawadi
-
Na MWANDISHI WETU
Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni ambaye ni Diwani wa
Kata ya Kibada Mhe. 𝗔𝗺𝗶𝗻𝗶 𝗠𝘇𝘂𝗿𝗶 𝗦𝗮𝗺𝗯𝗼, amefanya ...
1 hour ago
0 Comments