Habari za Punde

Mashine ya Kuchunguza Vidonda vya Tumbo Yazinduliwa Hospitali ya Mnazi Mmoja


Jopo la Madaktari Bingwa wa Uchunguzi wa Vidonda vya Tumbo kutoka China wakimfanyia uchunguzi mmoja wa Mgonjwa wa Vidonda vya tumbo katika Hospitali ya Mnazi mmoja, baada ya kufungulia Kitengo cha Uchunguzi wa Vidonda vya Tumbo katika hospitali hiyo na kutowa faraja kwa Wananchi wanaosumbuliwa na maradhi hayo, Mashine hiyo maalumu inayo uwezo wa kugundua maradhi hayo . kikiwa chini ya Madaktari mabingwa kutoka China.



No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.