Habari za Punde

Mji wa Chakechake Pemba Wapambwa na Magorofa

 Mji wa Chakechake Pemba ukiwa na haiba ya kuvutia kwa maeneleo ya mji huo kwa majengo ya kuvutia na kuupamba kwa majengo hayo.

Mdau hili ni jengo la Hoteli ya Kitalii katika mji huo na kuuweka katika haiba ya kuvutia kwa wageni wanaotembelea Chakechake. 

Chake siyo ile ya zamani unayoikumbuka wewe tembea ujionee jinsi mji huu ukiwa katika mabadiliko ya haraka haraka kwa ujenzi wake kukiwa na majengo ya ghorofa zaidi na yanaendelea kujengwa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.