Habari za Punde

Mkutano wa CUF Chaani

 Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa chama hicho uliofanyika viwanja vya Kinyasini, jimbo la Chaani Unguja.
 Mfuasi wa CUF akifurahia hotuba iliyotolewa na mmoja kati ya wajumbe wa kamati ya Maridhiano kwenye mkutano huo.
 Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano Mansoor Yussuf Himid akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaani.
 Baadhi ya wafuasi wa CUF na vyombo vya habari, wakifuatilia kwa umakini mkutano huo
  Mwenyekiti wa Kamati ya Maridhiano Mzee Hassan Nassor Moyo, akihutubia katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini, jimbo la Chaani.
Mjumbe wa Kamati ya Maridhiano maarufu Eddy Riyami akizungumza katika mkutano wa hadhara wa CUF uliofanyika Kinyasini jimbo la Chaani. (Picha na Salmin Said, OMKR)

1 comment:

  1. Huyu,bwana, hawa wahadimu walimtuhu sana kuwa huyu ni cuf, alijificha kwa kivuli cha shemegi yake, sasa karudi kwao,siajabu, na huyu mzee wetu hiinjaa au nini kimemsibu au ndio ana changanyikiwa sisi tupo tutaona munguakitupa maisha marefu

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.