Habari za Punde

ZATO na ZATI Wakutana na Kamishna wa Polisi Zanzibar

KAMISHNA wa  Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame, akizungumza na Viongozi wa Jumuiya ya ZATI na ZATO, walipofika Makao Makuu ya Polisi Kilimani kujitambulisha kwake na kufanya mazungumzo kuhusiana na uimarishaji wa Sekta ya Ulinzi kati Sekta ya Utalii Zanzibar.kushoto Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZATI  Abdullsamadu Said Ahmeid, 
 KAMISHNA wa  Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame, akimsikiliza Mwenyekiti wa Jumuiya ya ZATI  Abdullsamadu Said Ahmeid, alipofika MakaoMakuu ya Polisi Kilimani  Zanzibar, kujitambuliasha  baada ya uteuzi wake hivi karibuni,akiwa na Ujumbe wa Junuiya ya ZATI na ZATO
 Wadau wa Sekta ya Utalii Zanzibar wakimsikiliza Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame.

 Mmoja Kiongozi wa Jumuiya hizo Hassan Ali Mzee, akichangia katika mkutano huo wa Utambulishi wa Jumuiya hizo kwa Kamishna Mpya Hamdan Omar Makame.
Viongozi wa Jumuiya za Watembeza Watalii Zanzibar na ya Wawekezaji wa Sekta ya Utalii Zanzibar, Omar Said Shaban , akichangia katika mkutano huo na Kamishna wa Polisin Zanzibar Hamdan Omar Makame walipofika kujitambulisha kwake katika jengo la Makao Makuu ya Polisi Zanzibar leo.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.