Hawa ni Watoto na Vijana wakishuhudia matukio
muhimu katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra
shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,
Waandishi wa habari nao hawako nyuma katika kutafuta
habari na kuzisambaza kwa wananchi,katika ufunguzi wa Maonesho ya
Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el
Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Baadhi ya Viongozi wakifuatilia kwa makini harakati
za ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra
shamra za sherehe za Mapinduzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein
Viongozi mbali mbali na wananchi waliohudhuria
katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra
shamra za sherehe za Mapinduzi
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais,Dk Khalid
Salum,akitoa shukurani zake pia kumkaribisha Waziri wa Ofisi hiyo
katika ufunguzi wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi
Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra
shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za
Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma
Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa
Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za
sherehe za Mapinduzi
Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif
Hamadi,akipokea Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za
Mapinduzi,kutoka kwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma
Reli,iliyotengenezwa kwa Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa
Juu,katika ufunguzi wa maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,
yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za
sherehe za Mapinduzi
Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi.akipokea
Sarafu ya Shilingi Hamsini,ya sherehe za Mapinduzi,kutoka kwa Naibu
Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania Juma Reli,iliyotengenezwa kwa
Fedha,ambayo imetolewa kwa Viongozi wa Juu,katika ufunguzi wa
maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar, yaliyofanyika jana viwanja
vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za Mapinduzi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Wananchi katika ufunguzi
wa Maonesho ya Miaka 50 ya Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana
viwanja vya Beit el Ras,katika shamra shamra za sherehe za
Mapinduzi,(kulia) Makamo wa Pili wa Rais Balozi Seif Ali Iddi,pia
akiwa mwenyekiti wa maonesho hayo
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,akikata utepe kuyafungua Maonesho ya Miaka 50 ya
Mapinduzi Zanzibar,yaliyofanyika jana viwanja vya Beit el Ras,katika
shamra shamra za sherehe za Mapinduzi,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa
Rais Maalim Seif Sharif Hamadi,na (kulia) Makamo wa Pili wa Rais
Balozi Seif Ali Iddi
Picha zote na Ramadhan Othman, Ikulu
Hii sarafu ni ya elfu khamsini na wala sio ya shilingi khamsini
ReplyDelete