Katibu Mkuu Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Dkt. Khalid S Mahammed, akitowa taarifa ya Serekali ya Mapinduzi Zanzibar kuhusiana na ajali ya Boto ya Kampuni ya Azam Marine katika maeneo ya Mkondo wa Nungwi baada ya kutokea dharuba na baadhi ya abiria wake kuangukia baharini na kupotea. Kwa juhudi za Wavuvi wa Nungwi wamefanikiwa kuwaokoa Watu 3 na kupata miili ya Watu 5.wakati wa zoezi hilo jana.
RC Sendiga aanza ziara ya Kata kwa Kata Hanang', akagua miradi na kutatua
kero za Wananchi
-
Na Ruth Kyelula, Manyara
Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Mhe. Queen Sendiga, ameanza ziara maalumu ya
ukaguzi wa miradi na kusikiliza kero za wananchi katika Ha...
13 minutes ago
0 Comments