Habari za Punde

PBZ Yakabidhi Fulana kwa Ajili ya Sherehe za Miaka 50ya Mapinduzi ya Zanzibar

 Meneja Masoko wa PBZ Seif Suleiman akimkabidhi fulana kwa ajili ya sare kwa Wananchi watakaoshiriki Maadhimisho ya Miaka 50 ya Mapinduzi ya Zanzibar Mkurugenzi Mipango Bwa.Hassan, wa Ofisi ya Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar kulia Afisa wa PBZ Hassan Maulid


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.