Habari za Punde

Simba Yafanikiwa Kuingia Robo Fainal Mapinduzi Cup yaishinda KMKM 1--0
 

 Kocha Mkuu wa Timu ya Simba akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na mchezo wa timu yake mpya inayoshiriki Kombe la Mapinduzi na mategemeo yake kwa Kikosi hicho hatima yake kwa michuano hiyo ya Miaka 50 ya Mapinduzi leo ikiwa imefanikiwa kuishinda KMKM kwa bao 1--0.
Kocha Mkuu wa timu ya KMKM Ali Bushiri akizungumza na waandishi wa habari baada ya kumalizika mchezo huo na kupoteza kwa kufungwa bao moja na timu ya Simba na kufanikiwa kusonga mbele kwa timu ya Simba katika robo fainali.i  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.