Habari za Punde

DK Shein akutana na Makamo wa Rais wa India Mohammed Hamid Ansari

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi walipofika katika Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India na kuweka shada la mauwa katika makumbusho hayo,akifuatana na ujumbe wake katika ziara ya siku tatu nchini humo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akifuatana na Ujumbe wake wakielekea katika sehemu maalum iliyotengwa kwa shuhuli ya uwekaji wa mauwa kwa wageni mbali mbali wanaofika sehemu hiyo ya Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi India

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein wakiweka shada la mauwa  katika   Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, ambayo ni sehemu maalum iliyotayarishwa kwa  wageni mbali mbali wanaofika katika Makumbusho hayo,Rais akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake Nchini India

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein na Mkwe Mama Mwanamwema Shein pamoja na ujumbe wake wakiomba dua baada ya wakiweka shada la mauwa  katika   Makumbusho ya Mahatma Ghandhi Mjini New Delhi, akiwa katika siku ya tatu ya ziara yake Nchini India
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akiweka saini kitabu cha kumbukumbu ya wageni katika makumbusho ya Mahatma Gandhi katika Mji wa New Delhi India   baada ya  kuweka shada la mauwa (katikati)Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja Balozi wa Tanzania Nchini India John W.H.Kijazi (kushoto)

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed  Shein akizungumza na mwenyeji wake  Makamo wa Rais wa India Mohammed Hamid Ansari, mara alipowasili  Ofisini kwake Mjini New Delhi,akiwa na ujumbe aliofuatana nao wakiwemo Mwaziri mbali mbali na makatibu.[Picha na Ramadhan Othman,India.]


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.