Habari za Punde

Msaada Msikiti wa Kibweni kwa Raza.


Msikiti wa Kibweni Msheli shelini jirani na majengo ya Mh: Raza unahitaji mchango wako kwani umo katika eneo la utanuzi wa barabara. Hivyo waislamu wamejitolea kuuza nyumba zao zilizojirani na mskiti huo kwa ajili ya kupisha upanuzi wa mskiti huo.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.