Habari za Punde

NMB Yakabidhi Pikipiki kwa Ajili ya Jeshi la Polisi Arusha.

Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas, akikata utepe kuashirika kuzizindua Pikipiki zilizotolewa kwa Ajili ya Matumizi ya Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha na Benki ya NMB  
Kamanda wa Polisi Mkoani Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi Liberatus Sabas akipokea kadi za pikipiki kutoka kwa Meneja wa NMB Kanda ya Kaskazini Vicky Bishubo kwenye hafla ya makabidhianao ilyofanyika kwenye makao makuu ya jeshi hilo jana jijini Arusha


 Kutoka kushoto Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mkoani hapa (mwenye suti nyeusi) Diwani Nyanda na wafanyakazi wa benki ya Nmb Aneth,Jonathan Kombe,Meneja wa kanda wa benki hiyo Vicky Bishubo,Kamanda wa polisi mkoani hapa Liberatus Sabas na mnadhimu wa jeshi hilo mkoani hapa Japhet


1 comment:

  1. Asalam Alaikum jamani mimi naomba kuuliza, hii maana ya ZanziNews ni nini? ni khabari kutoka Zanzibar au khabari za Zanzibar (zinazohusu Zanzibar)

    ReplyDelete

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.