Baadhi ya waandishi wa habari wakimsikiliza Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo (hayupo pichani) katika mkutano huo uliofanyika Wizara ya Afya Mnazimmoja Zanzibar. (Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar).
Naibu Waziri wa Afya Mahmoud Thabit Kombo akijibu masuala ya waandishi wa habari kuhusiana na kuwasili madaktari wa Shirika la Specsaver ambao watafanya uchunguzi wa macho kwa muda wa siku tano katika Skuli ya sekondari ya Kiembesamaki, (kulia) Mkuu wa kitengo cha macho Zanzibar Dkt. Slim Mohammed Mgeni.
.
No comments:
Post a Comment