MTOTO Walid Ali Msabah mwenye umri wa mwaka mmoja na
miezi miwili, aliyekunywa akikimbizwa hospitalini baada ya kunywa mafuta ya taa
na gari yao kupata ajali katika eneo ya Mkungu Ngwachani, akipatia huduma na
daktari ambaye jina lake halikufahamika mara moja, katika wodi ya watoto
hospitali ya Chake Chake.(Picha na Abdi
Suleiman, PEMBA.)
DAKTARI Mtumwa Abdalla Shehe akimshona mtoto Adinani
Khamis Juma 9, aliyekuwa akitoka msikitini magharibi na kugongwa na gari
zilizogongana katika eneo la Mkungu Ngwachani Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
DAKTARI dhamana wa Hospitali ya Chake Chake Pemba,
Dk Yussuf Hamad Iddi akimpatia matibabu mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari
kikeri, kilichotokea katika eneo la Mkungu Ngwachani Chake Chake.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
MADAKTARI wa Hospitali ya Chake Chake, wakimpatia
matibabu mmoja wa majeruhi wa ajali ya gari, iliyokuwa ikitokea Wambaa wakati
wakirudi mpirani na kufikishwa hospitalini hapo.(Picha na Abdi Suleiman, PEMBA.)
No comments:
Post a Comment