Amiri Jeshi Mkuu Rais Jakaya Kikwete (pichani kati) na Waziri Mkuu Mh.Mizengo Pinda (pichani shoto) wakishuhudia askari wa jeshi la Wananchi (JWTZ) wakipiga risasi hewani kama sehemu ya heshima ya kumuaga aliyekuwa mkuu wa wilaya mpya ya Kyerwa mkoani Kagera leo,Marehemu Luteni Kanali Benedict Kitenga (mstaafu) huko kwenye makaburi ya Mlima Kola Kigurunyembe mkoani Morogoro. PICHA NA IKULU.
WANANCHI WATAKIWA KUTOA TAARIFA YA UTOVU WA NIDHAMU KWA TUMISHI WA UMMA
-
Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma kwa kushirikiana na Taasisi ya
Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) pamoja na wadau mbalimbali
wameazimis...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment