Habari za Punde

KATIBU MKUU WIZARA YA HABARI NA UJUMBE WA SERIKALI YA CHINA

 Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel kulia akiongea naKiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yaping wa kwanza kushoto kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali ya Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi Bw. Yao Yapingwa kwanza kushoto akiongea na Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi
Kiongozi wa msafara kutoka Serikali ya China jimbo la Jiangxi 

Bw. Yao Yapingwa kwanza kushoto akiongea na Katibu Mkuu 

Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante 

Ole Gabriel wa kwanza kulia kuhusiana na uboreshaji wa sekta ya 

Utamaduni na Sanaa baina ya Serikali Tanzania na China, katikati 

ni Kaimu Mkurugenzi Sanaa Bi. Leah Kihimbi

.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.