MATANGAZO MADOGO MADOGO

Friday, January 8, 2016

Maeneo ya kihistoria yasipopatiwa matunzo...

HII ndio moja ya athari ya maeneo ya kihistoria kama vile Mkamandume wilaya ya Chakechake Pemba, kutokuwa na watu wa kuyatunza na kuwarahisisha wafugaji kufunga mifugo yao ndani ya maeneo ya kihistoria, (Picha na Haji Nassor, Pemba).