Habari za Punde

Nyumba inauzwa

Ipo Kibele Unguja, inauzwa kwa  shilingi milioni khamsini. 50,000,000/- Bei itaweza kuteremshwa kwa masikilizano.

Nyumba ina vyumba vinne vikubwa, na kumbi tatu. Eneo la pembeni lina nafasi kubwa sana inayoweza kutoka nyumba zaidi mbili mpaka nne.

Tafadhali Wasiliana na

 Bw Mohd +255 773 939 282
Bi Semeni +255 774 870 703

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.